Ku bleed saana

kilila

Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
16
Reaction score
7
Habari zenu wandugu. Mimi ni binti nina miaka 24.

Huwa inapofika siku zangu jaman huwa nakosa raha kabisaa na huwa sitamanii kwenda sehemu. Kwanza huwa nina blid siku 5-6, ninaweza nikaumwa tumbo na kuharusha siku ya kwanzw had ya 5. Siku nyingine huwa naunwa siku tatu mfululizo au ya 1 , ya 2 na ya 4. Pia huwa nina blid kiasi kingi.

Hii hali inanikera hadi kunikosesha amani. Mara chache siku ya 5&6 hutoka kidogo lakn mara nyingi hutoka sana. Yan sina siku ya kwanza wala ya mwisho. Kitu kingine huwa inatoka mabonge ingawa siyo kwa siku zote lakini wakati mwingine huwa siku zote.

Pia hutoka kwa presha kama vile mtu kafungulia bomba linalotoa maj mengi kwa kasi kiasi ya kwamba husikika mlio (pwa pwa pwa) ambapo ata mtu aliyeko karibu na mim hatua moja huweza kusikia huo mlio. Je hili laweza kuwa tatizoo?na kama ni tatizo ni tatizo gani?? Na je nifanyeje?

Maoni na ushauri wenu navitegemea sana.
 
Punguza waume zawatu sikuhizi wenyemali wanadili name bleeding days
 
Tego hilo na bado zitazidi hzo siku hadi kufikia 120dayz vinginevyo kamtake radhi yule mama we mwenyewe unamjua
 
Pole sana. Itakuwa unatumia njia ya uzazi wa mpango ndiyo mara nyingi husababisha kuvuruga kwa hedhi na kutokea kama ulivyoelezea. Nakushauri acha mara moja kama unatumia njia ya uzazi wa mpango kwa maana ya kwamba imekukataa. Ni hatari kwa afya na uhai wa mfuko wa uzazi wako.
 
Pole sana mimi nakushauri uende hospital kama uko Dar nenda Muhimbili ukamuone Gynecologist yoyote,yapo mengi yanayosababisha hiyo hali inawezekana ikawa ni Fibroid,hormone imbalance,ovarian cysts au bacterial infection,nenda ukawaone watalaam ili upate uhakika.
 

Mkuu wewe ni she or ni He

no offense Nauliza tu kujua Lol
 

Wewe Mwenye ID Ya NguoYaSikukuu Humu JF Hebu Mjibu Mwanamke Mwenzio Basi Umsaidie Kwani Anataabika Na Isitoshe Pia Nyie Ni Dada Zetu Hivyo Hatupendi Mteseke Kwa Matatizo Ya Kupata Hizo Hedhi Zenu a.k.a Ku Bleed!
 
Kila mwez daa ni noma! Sema tu kuringa ni jadi, lakin ukitafakari unaweza usiombe gegedo!
 
Kabinti kangu ka miaka 12 ndiyo kwanza kamevunja ungo siku zake zimekua zikienda hadi 10 , je hili nalo kwa hatua hii ya mwanzo ni tatizo au kawaida?
 
Dah...kila nikiutafakari ulimwengu wa wanawake nauona umejaa adha,karaha na mateso ya kila aina....kuna wanaotoka maji ukeni ,kuna hawa wanaomwagika damu mfurulizo...
Bila kusahau wale kutoka utoko mweupe....dah..
Heshima kwenu wadada kwa mateso mnayopitia....isipokuwa mpunguze kidogo nyodo na majivuno......
 


wewe unataka kusemaje labda! kwakuwa kuna kuingia kwenye siku basi wasiringe wakukubalitu na ukimwi wako na hicho kibamia au
 
Upo matege شيثق ل
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…