Habari zenu wandugu. Mimi ni binti nina miaka 24.
Huwa inapofika siku zangu jaman huwa nakosa raha kabisaa na huwa sitamanii kwenda sehemu. Kwanza huwa nina blid siku 5-6, ninaweza nikaumwa tumbo na kuharusha siku ya kwanzw had ya 5. Siku nyingine huwa naunwa siku tatu mfululizo au ya 1 , ya 2 na ya 4. Pia huwa nina blid kiasi kingi.
Hii hali inanikera hadi kunikosesha amani. Mara chache siku ya 5&6 hutoka kidogo lakn mara nyingi hutoka sana. Yan sina siku ya kwanza wala ya mwisho. Kitu kingine huwa inatoka mabonge ingawa siyo kwa siku zote lakini wakati mwingine huwa siku zote.
Pia hutoka kwa presha kama vile mtu kafungulia bomba linalotoa maj mengi kwa kasi kiasi ya kwamba husikika mlio (pwa pwa pwa) ambapo ata mtu aliyeko karibu na mim hatua moja huweza kusikia huo mlio. Je hili laweza kuwa tatizoo?na kama ni tatizo ni tatizo gani?? Na je nifanyeje?
Maoni na ushauri wenu navitegemea sana.