Ku bleed saana


Koh koh,Good morning
 
Pole sana mdada ,ila nakushauri uende hospital hilo nitatizo
 
Gudmoning to you all. Nawashukuruni wote mlionishauri vyema kadri mlivyoelewa. Na mbarikiwe sana. Mliojisikia kuropoka kadri mlivyojisikia pia mbarikiwe. #What i can say is sijawah tumia njia yoyote ya uzazi wa mpango wala kuiba mume wa mtu#.."chunga sana ulimi"
.niko mbeya nitakwenda hospitali!
 

Pole mkuu kams upo mbeya wahi kwa doctor wa kina mama kuna hosptali ipo uyole muone docta sijabaji atakutibia fresh mungu akusaidie
 

ungelikuea dsm ningekushauri uende Kairuki dr wa magonjwa akina mama alimsaidia sana wifi ako. Tatixo lako nu kubwa njoo dsm utibiwe.

Je ulianza tendo muda gani mpaka sasa. Unamuda gan na hiyo hali?
 
Check up kwa dr wa wanawake ni muhimu saana maana uenda unashida kwenye kizazi hata kaupele kadogo tu kwenye kizazii ni shida na kuhusu maumivu unaweza tumia dawa za kuzuia maumivu kama diclofenac na wkt mwingine unaweza kuchoma hata sindano na ukiwa ktk kipindi hicho jitahd kunywa vitu vya moto kama supu,cchai na wkt mwingine hata maji moto watia kwenye kikombe na unakunywa taratibu tu kama chai vilevile kuna hii mipira ya plastiki ya kujaza maji moto kama huna tafuta uwe unajaza maji na unajikandakanda nayo sehem za tumbo na kiuno kama huwezi pata waweza jikanda kama vile wakandavyo mzazi kwa maji moto ama kutia maji kwenye ndoo kama robo ndoo alafu unakalia unahakikisha ule mvuke na joto unaubana unakuingia vzr. Polee najua shida unayopata mpenzi.
 
Upo matege شيثق ل

ጨጠኘኸመጀጸጸጰሐኸቀመዠለሐጨዠቀጰፐመነቨቨቸሸፈበተተተ
 
Nenda Hospitali kajitibie ukikosa Dawa za kukutibia nitafute mimi dawa ninayo unaweza kunipata kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…