Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo matege شيثق ل
Dah...kila nikiutafakari ulimwengu wa wanawake nauona umejaa adha,karaha na mateso ya kila aina....kuna wanaotoka maji ukeni ,kuna hawa wanaomwagika damu mfurulizo...
Bila kusahau wale kutoka utoko mweupe....dah..
Heshima kwenu wadada kwa mateso mnayopitia....isipokuwa mpunguze kidogo nyodo na majivuno......
Gudmoning to you all. Nawashukuruni wote mlionishauri vyema kadri mlivyoelewa. Na mbarikiwe sana. Mliojisikia kuropoka kadri mlivyojisikia pia mbarikiwe. #What i can say is sijawah tumia njia yoyote ya uzazi wa mpango wala kuiba mume wa mtu#.."chunga sana ulimi"
.niko mbeya nitakwenda hospitali!
Koh koh,Good morning
Gudmoning to you all. Nawashukuruni wote mlionishauri vyema kadri mlivyoelewa. Na mbarikiwe sana. Mliojisikia kuropoka kadri mlivyojisikia pia mbarikiwe. #What i can say is sijawah tumia njia yoyote ya uzazi wa mpango wala kuiba mume wa mtu#.."chunga sana ulimi"
.niko mbeya nitakwenda hospitali!
Nulakumonyinipo wo kanyi.. mbonyi mbe
Upo matege شيثق ل
Nenda Hospitali kajitibie ukikosa Dawa za kukutibia nitafute mimi dawa ninayo unaweza kunipata kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabari zenu wandugu. Mimi ni binti nina miaka 24. Huwa inapofika siku zangu jaman huwa nakosa raha kabisaa na huwa sitamanii kwenda sehemu. Kwanza huwa nina blid siku 5-6, ninaweza nikaumwa tumbo na kuharusha siku ya kwanzw had ya 5. Siku nyingine huwa naunwa siku tatu mfululizo au ya 1 , ya 2 na ya 4. Pia huwa nina blid kiasi kingi. Hii hali inanikera hadi kunikosesha amani. Mara chache siku ya 5&6 hutoka kidogo lakn mara nyingi hutoka sana. Yan sina siku ya kwanza wala ya mwisho. Kitu kingine huwa inatoka mabonge ingawa siyo kwa siku zote lakini wakati mwingine huwa siku zote. Pia hutoka kwa presha kama vile mtu kafungulia bomba linalotoa maj mengi kwa kasi kiasi ya kwamba husikika mlio (pwa pwa pwa) ambapo ata mtu aliyeko karibu na mim hatua moja huweza kusikia huo mlio. Je hili laweza kuwa tatizoo?na kama ni tatizo ni tatizo gani?? Na je nifanyeje? Maoni na ushauri wenu navitegemea sana.