Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Habari za wakati huu, watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine.
Acha niende kwenye mada yangu, kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini maana ya mapenzi na uhuru katika mahusiano. Toka tumekuwa katika mahusiano, sehemu kubwa ni amani na pia mtu anayenipa changamoto ya kupambana na maisha.
Ni Mmarangu, Mzuri sana, anaumbo fulani safi sema anakakitambi fulani hivi 😘😘 ila mie hainipi shida sana kwa sababu napenda nyama nyama. Kulingana na uzoefu wangu, huyu dada ananifanya nione sababu kwanini ni muhimu sana kuzingatia suala la umri kwenye kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano serious sio yale ya "hit and run" .
Huyu mdada acha nimsifie tu, Mzuri🥰, Hana umbo la boks la karata, Anajituma kutafuta pesa, mzuri na msikivu. Sasa nimejaribu kulinganisha na hii age ya kuanzia 22 hadi 25 hapo hivi, kwa uzoefu wangu nimepitia headache sana. Mambo yanayofanywa na hawa wanawake wa age hii;

- Anataka muda wote muwe mnachati tu, usimwambie niko nakazi ananuna 😏😏
- Kukaguana kaguana simu, isipigwe simu na ikasikika sauti ya kike maswali yanaanza kama mahakamani 😔
- Wanapenda mapenzi ya show off, sijui mtembee mmeshikana mikono barabarani kila mtu ajue sijui ndio lengo lao
- Na mengine mengi tu
- Hawa watoto ni watamu sana ila akili hamnamo .