Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Kama ni wamarangu anakulia timing kama kumuua kobe kaa kimachale hakikosa anachokitaka anakipeleka side B.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Acha anilie timing tu kwa kweli, kuja kubadilika namimi nitakuwa nishafaidi vyangu vya kutosha. Nani mwenye hasara, hakuna vibomu vya kipuuzi puuzi kama hawa early 20's
 
Dhaaaa Mambo haya mm ndo maana
Natulia Tu huku kwenye 25-30 hapo hakuna
Kusumbuana kuchat kila saa
 
Ila ukumbuke huyo wa 28 pia wadau tuli hit and run kipindi yuko 23[emoji23]
Si ndio maana nasema hao kuwapiga na kuwaacha tunakuwa hatuwatendei haki maana wametulia sana. Hawa vicheche wanaojiita slay queen, wala bata la samaki samaki. Mie kila nikienda samaki narudi na kamoja kakulala nako, ila nikiona 27 au zaidi nawaacha maana hawastahili hayo.
 
Dhaaaa Mambo haya mm ndo maana
Natulia Tu huku kwenye 25-30 hapo hakuna
Kusumbuana kuchat kila saa
Si ndio hapo mkuu, hivi vitoto vya miaka 20 ya mapema hivi daah. Yaani mtu anataka kila saaa muoongee tu na kuchati, sasa mtu tupo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miezi sita kila saa tunachati tunachati au kuongea nini kila wakati ?? Mimi binafs napenda space, nipate muda wa kujipumzisha na kufikiria maisha yangu nilikotoka na ninakokwenda, sasa hapo unaambiwa mbona hujibu mesejhi au uko na wawanake wako.
 
Vipi hana mtoto?
 
Habari za wakati huu watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwap@e pole ndugu na jamaa ambao sikun yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine.
Acha niende kwenye maada yangu, Kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini maana ya mapenzi na uhuru katika mahusiano. Toka tumeakuwa katika mahusiano, sehemu kubwa ni amani na pia mtu anayenipa changamoto ya kupambana na maisha. Ni Mmarangu, Mzuri sana, anaumbo fulani safi sema anakakitambi fulani hivi 😘😘 ila mie hainipi shida sana kwa sababu napenda nyama nyama. Kulingana na uzoefu wangu, huyu dada ananifanya nione sababu kwanini ni muhimu sana kuzingatia suala la umri kwenye kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano serious sio yale ya "hit and run" .
Huyu mdada acha nimsifie tu, Mzuri🥰, Hana umbo la boks la karata, Anajituma kutafuta pesa, mzuri na msikivu. Sasa nimejaribu kulinganisha na hii age ya kuanzia 22 hadi 25 hapo hivi, kwa uzoefu wangu nimepitia headache sana. Mambo yanayofanywa na hawa wanawake wa age hii;
  • Anataka muda wote muwe mnachati tu, usimwambie niko nakazi ananuna 😏😏
  • Kukaguana kaguana simu, isipigwe simu na ikasikika sauti ya kike maswali yanaanza kama mahakamani 😔
  • Wanapenda mapenzi ya show off, sijui mtembee mmeshikana mikono barabarani kila mtu ajue sijui ndio lengo lao
  • Na mengine mengi tu
Mazuri ambalo nimeona ni moja tu
  • Hawa watoto ni watamu sana ila akili hamnamo .
Ni hayo tu, huu ni uzoefu wangu, toa uzoefu wako. POVU RUKSA
Hongera mkuu
 
Hii ni kwa wanandoa watarajiwa.
Sisi maveterani huwa tunaangalia millages mwisho miaka 25 ndio tulivyoelewana mabaharia.

Kabisa mkuu.
Mwenzetu akiwa na umri wa miaka 23 hakupitia haya, ndio maana anaona shida.

Sisi ambao hatukuruka stage
Mambo ni mswano.
 
Hivi huwa hampendi kuchat jamani?
Tunapenda Lakin sio kila wakat
Sasa asubuh mtu anatumia text.

Anataka ujibu mda huo huo mchana nae ndo huyo huyo na ukichelewa utaskia uko na nan
Mbona hujibu msg.

na kumbe mtu uko kaz kumtafta ugali mm binafs napenda
Kua online Sana most jion na weekends.

Kinachoniboa zaid n hiz sim za
Mkianza kuongea mpaka sim unapata
Moto[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom