Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

1.ana umbo la pembe nne???

2.ANAJUA KUTAFUTA PESA( hii ndo sababu ya kuanzisha siredi)

Soma vizuri comment yangu…! Nimesema hana Umbo la Box la karata.! Anajua kutafuta hela …! Kuna kingine niongeze hapo
 
Mbona sioni kitambi hapo
 
Hongera ila naona kama una vina 7 vya kulelewa mkuu.

Hapana Mkuu, Napenda wanawake wanaojua kutafuta pesa sio kulelewa. Huyu mdada anatafuta pesa, so mimi namimi natoaga support panapobidi. Sitaki wanawake albao ni fully dependent.
 
Binti wa sasa akikwambia ana miaka 20 zidisha mara 3 gawa kwa 2 ndo utapata umri wake halisi.

Kapuya na uzee wake wote alioa binti wa miaka 19 eti mimi na ujana wangu nikaoe binti wa miaka 27??? Zitakuwa hazinitoshi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli zitakuwa hazikutoshi
 
Ninasikia Wamarangu wanaua sana waume zao. Ninasikia sikia tu mkuu. Ni tetesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…