Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Imagine ungekuwa huna pesa katika umri huo, ungepata mtu na kutamba kuwa uliwakula watoto wa watu?[emoji23][emoji849][emoji849]

Kusema ukweli Mkuu, Najitahidi sana Kutafuta Pesa Mkuu, na ukijimlisha na Baraka za Mwenyezi siwezi kusema sina ila sijaacha kujiweka fit kuwatosheleza kunako 6x6
 
Sio kwamba ni raha kudate nao ila wengi wao wanakuwa desperate na ndoa..hvyo atakuonesha all good manners ilmrad umuone wife material umuoe au unasema uongo Karucee ?
Mwanamke akifika 26 tu anafikiria ndoa. Ndo maana michepuko mingi ni 18-24 tu na ni marafiki zet vibabu
 
Kusema ukweli Mkuu, Najitahidi sana Kutafuta Pesa Mkuu, na ukijimlisha na Baraka za Mwenyezi siwezi kusema sina ila sijaacha kujiweka fit kuwatosheleza kunako 6x6
Hongera kaka, najifunza kutafuta pesa kwanza. Kuna kijana mwenzio kwa umri wako hajawahi kupata demu mbichi zaidi ya wazee waliojichokea, kwa sababu ya kukosa pesa. Kwa hiyo kama ulibahatika ushukuru sana. Usishangae mtu aged 45+ anafanya mambo ya kijana wa kiume wa 23-, ni kwa sababu hakupitia stage hiyo, kwani alikuwa akitafuta pesa kwa juhudi alipokuwa na umri huo. Kama ulizipata pesa mapema, hongera yako kaka!
 
Mawasiliano kitu cha msingi sana. Na jitahidi ujue mwenzako yupoje kwenye suala la mawasiliano; mwepesi au mzito then go with the flow. Kuna watu yeye simu kwa siku mara moja imeisha, kuna wengine yaani ukiwa tu free mtafute.

Kuelewa naelewa, ila utekelezaji sasa ndo unakuwa unasua sua, ila nadhani nitajitahidi sana.

Maana napotezaga mahusiano kwa uzembe huu.
 
Kumbe umeona inavyokugharimu kwenye mahusiano yako? Make sure this time mtoto hakukimbii kisa mawasiliano mabovu. Mimi na utu uzima wangu huu, nikiona tu ka meseji from mzee mwenzangu, tayari kamoyo kanachanuaaa, sembuse nyie vijana.
Kuelewa naelewa, ila utekelezaji sasa ndo unakuwa unasua sua, ila nadhani nitajitahidi sana.

Maana napotezaga mahusiano kwa uzembe huu.
 
Hongera kaka, najifunza kutafuta pesa kwanza. Kuna kijana mwenzio kwa umri wako hajawahi kupata demu mbichi zaidi ya wazee waliojichokea, kwa sababu ya kukosa pesa. Kwa hiyo kama ulibahatika ushukuru sana. Usishangae mtu aged 45+ anafanya mambo ya kijana wa kiume wa 23-, ni kwa sababu hakupitia stage hiyo, kwani alikuwa akitafuta pesa kwa juhudi alipokuwa na umri huo. Kama ulizipata pesa mapema, hongera yako kaka!

Namshukuru Mungu, Tunapambana tu hakuna namna. Maana baadae najua nitaanza kudaiwa Ada, Pesa ya Kujikimu shule na mengine mengi. So najitahidi sana kupambana ili mradi tu watoto wangu wasihangaike sana.
 
Na ndilo la msingi hilo, ukipata nafasi ya kuutumia ujana wako, basi ni bora uutumie vizuri ili ukishazeeka usije ukawa kituko kwa jamii. Refer kwa wazee wengi ikiwemo walimu wa vyuo vikuu.
 
Back
Top Bottom