Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Mawasiliano kitu cha msingi sana. Na jitahidi ujue mwenzako yupoje kwenye suala la mawasiliano; mwepesi au mzito then go with the flow. Kuna watu yeye simu kwa siku mara moja imeisha, kuna wengine yaani ukiwa tu free mtafute.
Sawa mama, najitahidi sana, maana mimi akili yangu kwenye mawasiliano na jinsia ke huwa mbovu sana.

Najitahidi aisee.
 
Mawasiliano kitu cha msingi sana. Na jitahidi ujue mwenzako yupoje kwenye suala la mawasiliano; mwepesi au mzito then go with the flow. Kuna watu yeye simu kwa siku mara moja imeisha, kuna wengine yaani ukiwa tu free mtafute.

Hii ya ukiwa free tu mtafute ni Changamoto sana.! Sasa ule muda mimi nataka kupumzika tena nianze kunyanyu simu kuanza kuongea na mtu ambaye asubuhi nimempigia ..! Kwanini nisipumue asee
 
Sina hamu na hao under 20 hata kidogo, akili zao za kitoto mnoo. Naendaga kwa wale wenye 23 hadi 28. Tofauti na hapo siendelei japo natamani nipate lidada lenye 35 hivi namimi na 29 yangu nionje utamu wa Namba C [emoji2][emoji2][emoji2]
Bado miaka miwili tu nitimize,nitakutafuta mkuu.Jitahidi tu usinichafue yaan iwe kazkaz
 
Yeah! Nakumbuka nami nishawahi acha mtu kisa yuko busy muda wote,kuwasiliana usiku ambao nami nakuwa mechoka.Lakini sasa kutokana na ubusy nilionao naamini ni kweli alikuwa busy.Alikuwa adanganyi.ANISAMEHE BURE
Ni yeye ndio anatakiwa akusamehe bure, sio wewe umsamehe yeye. Hakuna cha ubize wala nini, kwenye mapenzi ya dhati.
 
Fala sana, mile zake chache tu. Kitu imetulia haijachoka sana. Injini safi kabisa, inafua joto la kutosha kuzungusha propellor ndio usiseme
hivi ikiwa imetumika sana unaweza tambua eeeeeeh
maajabu yako mengi duniani
 
Hii ya ukiwa free tu mtafute ni Changamoto sana.! Sasa ule muda mimi nataka kupumzika tena nianze kunyanyu simu kuanza kuongea na mtu ambaye asubuhi nimempigia ..! Kwanini nisipumue asee
Eeh kwa hiyo mkiongea asubuhi ndiyo imetosha? Mpigie tu hata dk 2 mjulie hali inatosha; ni kitu kidogo sana lakini reward yake utafurahi mwenyewe na roho yako
 
Ni yeye ndio anatakiwa akusamehe bure, sio wewe umsamehe yeye. Hakuna cha ubize wala nini, kwenye mapenzi ya dhati.

Mapenzi hayo ya Dhati hayo yakoje mkuu?? Yaani hata ukiwa na kazi nilazima ujibu meseji umpigie haijalisji unabanwa na kazi kiasi gani ?? [emoji849][emoji849][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Yeah! Nakumbuka nami nishawahi acha mtu kisa yuko busy muda wote,kuwasiliana usiku ambao nami nakuwa mechoka.Lakini sasa kutokana na ubusy nilionao naamini ni kweli alikuwa busy.Alikuwa adanganyi.ANISAMEHE BURE
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dhaaa jamaa alijilamu kwakua
Buys yani

Ila ndo ukweli
 
Kwa content ya uandishi wako, unaonekana hupendi shida za kujieleza sana, hivyo unapenda kutumia pesa kuwapata hao watoto wazuri.

Hapana Mkuu najielezaga sana ila Pesa pia Natumia maana hawa wenzetu wanamahitaji yao sasa namsaidia ili asijione hana wa kumpa support…! Cha zaidi zaidi ni Moto tu ndio unawarudishaga
 
Back
Top Bottom