Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ni mama ndiyo
Umeongea kama mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kama mama.
Ni mama ndiyo
Hongera kwa hilo, nakumbuka maonyo aliyokuwa anatupa mama tukiwa wadogo, ndo kama hivi sasa.
Mtusikilizage vizuri mama zenu.
Ndiyo maana mademu wa chuo wanatoka na wanachuo wenzao hata kama ana mtu nje. Wanasema idle mind is the work of the devil.
Sasa mzee una miaka 30 unataka ukachukue katoto ka secondary unahisi mtakua mnaongea nini!? Ukichagua hivyo kubaliana na yoteYess.. akili zao zinawaza icecream na chocolate tu.
Ndo hapo sasa na mtu anatakaUko busy na tukaz muda wa kuchati kila Mara sijui unatoa wapi
Ndugu yangu, shukuru una mtu anatamani kukusikia, siku mambo yakibadilika; utazimiss hizo moments mpaka basi
Yaani dah, ndo yanaingilia sikio hili yanatokea huku.
I wish nirudi utoto nianze upya aisee.
Mtusikilizage vizuri mama zenu.
Relationship is boring kama chaguo lako kuna tofauti kubwa kimiaka, chagua mtu ambae hamjaachana sana its lovely and very romantic... Mengi nikujitakia tu, mtu unakaa na msichana/mwanaume unaona tabia zake ni za hovyo unajilazimisha tu kuishi nae
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. nimeishia hapo kwenye sema anakakitambi flani hivi noma sanaHabari za wakati huu watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine.
Acha niende kwenye mada yangu, kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini maana ya mapenzi na uhuru katika mahusiano. Toka tumekuwa katika mahusiano, sehemu kubwa ni amani na pia mtu anayenipa changamoto ya kupambana na maisha.
Ni Mmarangu, Mzuri sana, anaumbo fulani safi sema anakakitambi fulani hivi [emoji8][emoji8] ila mie hainipi shida sana kwa sababu napenda nyama nyama. Kulingana na uzoefu wangu, huyu dada ananifanya nione sababu kwanini ni muhimu sana kuzingatia suala la umri kwenye kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano serious sio yale ya "hit and run" .
Huyu mdada acha nimsifie tu, Mzuri[emoji3059], Hana umbo la boks la karata, Anajituma kutafuta pesa, mzuri na msikivu. Sasa nimejaribu kulinganisha na hii age ya kuanzia 22 hadi 25 hapo hivi, kwa uzoefu wangu nimepitia headache sana. Mambo yanayofanywa na hawa wanawake wa age hii;
Mazuri ambalo nimeona ni moja tu
- Anataka muda wote muwe mnachati tu, usimwambie niko nakazi ananuna [emoji57][emoji57]
- Kukaguana kaguana simu, isipigwe simu na ikasikika sauti ya kike maswali yanaanza kama mahakamani [emoji17]
- Wanapenda mapenzi ya show off, sijui mtembee mmeshikana mikono barabarani kila mtu ajue sijui ndio lengo lao
- Na mengine mengi tu
Ni hayo tu, huu ni uzoefu wangu, toa uzoefu wako. POVU RUKSA
- Hawa watoto ni watamu sana ila akili hamnamo .
Sawa Mkuu, ila kwanini tusilifanye suala la kuwasiliana katika utaratibu fulani. Tuongee asubuhi labda mchana ikipatikana nafasi ila usiku inakuwa muhimu kupeana mawazo ya hapa na pale juu ya changamoto za Maisha. Naelewa yeye anakuwa anataka hilo ila sasa kwanini usinitafute muda ambao nakua free sio kila saa simu [emoji849][emoji849][emoji849]
Kujifunza hakuna mwisho ujue, anza tu sasa
Sasa mzee una miaka 30 unataka ukachukue katoto ka secondary unahisi mtakua mnaongea nini!? Ukichagua hivyo kubaliana na yote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. nimeishia hapo kwenye sema anakakitambi flani hivi noma sana
Ni kweli Mkuu, Hivi ukiwa na age kama 29 hivi ni age range gani inaweza kuwa muswano kuepuka mabalaa? Kwa mawazo yako mkuu
Ratiba zenu si zinajulikana? Kama anakutafuta muda ambao anajua kabisa umetingwa sio sawa. Na wewe jitahidi sasa ukiwa free unamcheki, sio ukiwa busy kimya, ukiwa free kimya pia; unasubiri hadi akuanze yeye. Itafika tu hatua, hata yeye akiona upo kimya, anajua kabisa huu ukimya lazima ametingwa, so anarelax hakusumbui.
Yeah! Nakumbuka nami nishawahi acha mtu kisa yuko busy muda wote,kuwasiliana usiku ambao nami nakuwa mechoka.Lakini sasa kutokana na ubusy nilionao naamini ni kweli alikuwa busy.Alikuwa adanganyi.ANISAMEHE BURENdo hapo sasa na mtu anataka
Kukulazimisha uchati yy amekaa TV
Movie baada ya movie
Under 20 shda sana