Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Ndugu yangu, shukuru una mtu anatamani kukusikia, siku mambo yakibadilika; utazimiss hizo moments mpaka basi

Sawa Mkuu, ila kwanini tusilifanye suala la kuwasiliana katika utaratibu fulani. Tuongee asubuhi labda mchana ikipatikana nafasi ila usiku inakuwa muhimu kupeana mawazo ya hapa na pale juu ya changamoto za Maisha. Naelewa yeye anakuwa anataka hilo ila sasa kwanini usinitafute muda ambao nakua free sio kila saa simu [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Relationship is boring kama chaguo lako kuna tofauti kubwa kimiaka, chagua mtu ambae hamjaachana sana its lovely and very romantic... Mengi nikujitakia tu, mtu unakaa na msichana/mwanaume unaona tabia zake ni za hovyo unajilazimisha tu kuishi nae

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli Mkuu, Hivi ukiwa na age kama 29 hivi ni age range gani inaweza kuwa muswano kuepuka mabalaa? Kwa mawazo yako mkuu
 
Habari za wakati huu watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine.

Acha niende kwenye mada yangu, kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini maana ya mapenzi na uhuru katika mahusiano. Toka tumekuwa katika mahusiano, sehemu kubwa ni amani na pia mtu anayenipa changamoto ya kupambana na maisha.

Ni Mmarangu, Mzuri sana, anaumbo fulani safi sema anakakitambi fulani hivi [emoji8][emoji8] ila mie hainipi shida sana kwa sababu napenda nyama nyama. Kulingana na uzoefu wangu, huyu dada ananifanya nione sababu kwanini ni muhimu sana kuzingatia suala la umri kwenye kuchagua mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano serious sio yale ya "hit and run" .

Huyu mdada acha nimsifie tu, Mzuri[emoji3059], Hana umbo la boks la karata, Anajituma kutafuta pesa, mzuri na msikivu. Sasa nimejaribu kulinganisha na hii age ya kuanzia 22 hadi 25 hapo hivi, kwa uzoefu wangu nimepitia headache sana. Mambo yanayofanywa na hawa wanawake wa age hii;
  • Anataka muda wote muwe mnachati tu, usimwambie niko nakazi ananuna [emoji57][emoji57]
  • Kukaguana kaguana simu, isipigwe simu na ikasikika sauti ya kike maswali yanaanza kama mahakamani [emoji17]
  • Wanapenda mapenzi ya show off, sijui mtembee mmeshikana mikono barabarani kila mtu ajue sijui ndio lengo lao
  • Na mengine mengi tu
Mazuri ambalo nimeona ni moja tu
  • Hawa watoto ni watamu sana ila akili hamnamo .
Ni hayo tu, huu ni uzoefu wangu, toa uzoefu wako. POVU RUKSA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. nimeishia hapo kwenye sema anakakitambi flani hivi noma sana
 
Ratiba zenu si zinajulikana? Kama anakutafuta muda ambao anajua kabisa umetingwa sio sawa. Na wewe jitahidi sasa ukiwa free unamcheki, sio ukiwa busy kimya, ukiwa free kimya pia; unasubiri hadi akuanze yeye. Itafika tu hatua, hata yeye akiona upo kimya, anajua kabisa huu ukimya lazima ametingwa, so anarelax hakusumbui.
Sawa Mkuu, ila kwanini tusilifanye suala la kuwasiliana katika utaratibu fulani. Tuongee asubuhi labda mchana ikipatikana nafasi ila usiku inakuwa muhimu kupeana mawazo ya hapa na pale juu ya changamoto za Maisha. Naelewa yeye anakuwa anataka hilo ila sasa kwanini usinitafute muda ambao nakua free sio kila saa simu [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Sasa mzee una miaka 30 unataka ukachukue katoto ka secondary unahisi mtakua mnaongea nini!? Ukichagua hivyo kubaliana na yote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina hamu na hao under 20 hata kidogo, akili zao za kitoto mnoo. Naendaga kwa wale wenye 23 hadi 28. Tofauti na hapo siendelei japo natamani nipate lidada lenye 35 hivi namimi na 29 yangu nionje utamu wa Namba C [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ratiba zenu si zinajulikana? Kama anakutafuta muda ambao anajua kabisa umetingwa sio sawa. Na wewe jitahidi sasa ukiwa free unamcheki, sio ukiwa busy kimya, ukiwa free kimya pia; unasubiri hadi akuanze yeye. Itafika tu hatua, hata yeye akiona upo kimya, anajua kabisa huu ukimya lazima ametingwa, so anarelax hakusumbui.

Got you sis [emoji855]
 
Ndo hapo sasa na mtu anataka
Kukulazimisha uchati yy amekaa TV
Movie baada ya movie

Under 20 shda sana
Yeah! Nakumbuka nami nishawahi acha mtu kisa yuko busy muda wote,kuwasiliana usiku ambao nami nakuwa mechoka.Lakini sasa kutokana na ubusy nilionao naamini ni kweli alikuwa busy.Alikuwa adanganyi.ANISAMEHE BURE
 
Back
Top Bottom