Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

Ku ejaculate wakati unajisaidia haja kubwa

Haa haa!!
Hata mm iliwah nitokea nikapata shda kdogo kwa mara ya kwanz,but tangu nizoee hyo hal nikaweza kuicontroi coz nikisha pewa muda wa mwsho kabla ya kumalza mtihan,huwa sihangaiki na hasa unapowazia huo muda hku una bana miguu ukiwa unataman kumaliza mtihan kwa muda huo.
 
Hahaaaa kumbe tuko wengi basi siogopi tena maana juzi kati ilitaka kurudia tena ikabidi nimuite msimamizi aongeze plain paper watu wote walinishangaa ila mission successful

Daaah!! uliifanyia nn hyo plain paper.
 
MI SIJUI ASEEH,,,NASUBIRI NA MM NIPATIE MAJIBU HAPAHAPA.
 
Back
Top Bottom