Haa haa!!
Hata mm iliwah nitokea nikapata shda kdogo kwa mara ya kwanz,but tangu nizoee hyo hal nikaweza kuicontroi coz nikisha pewa muda wa mwsho kabla ya kumalza mtihan,huwa sihangaiki na hasa unapowazia huo muda hku una bana miguu ukiwa unataman kumaliza mtihan kwa muda huo.