maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Mapenzi huwa yanaanza taratibu sanaMaji ya gundu Ninakupenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi huwa yanaanza taratibu sanaMaji ya gundu Ninakupenda.
Naomba nidanganye kingine sio kunipenda, maana toka nipendwe at kiuongo nmesahauMaji ya gundu Ninakupenda.
Mimi nakupenda.Mapenzi huwa yanaanza taratibu sana
Mimi nakupenda sijadanganyaNaomba nidanganye kingine sio kunipenda, maana toka nipendwe at kiuongo nmesahau
Hahahahahahahah hahahahahah dooohKudanganya huwa kuna gharama zake.
Kipindi cha miaka kadhaa iliyopita nilidanganya jina kwa mwanaume ambaye nilikutana nae.
Siku zinavoenda akanipenda, na Mimi nikawa naanza kumpenda ila tatizo sasa hata jina lenyewe analoniita nilimdanganya. Kuanza kumwambia ukweli nashindwa. Maana alivokuwa analipenda jina langu la uongo , nikaona haifai.
Nilichofanya ni kulipa gharama za kumdanganya, nikamwambia kwamba simpendi na asinitafute. Nikamblock.
Siku akaja akajua jina langu la kweli akaja niuliza Paula mbona ulinidanganya? Nikamwambia kwani sababu hauijui? Nilikudanganya kwa sababu sikukupenda.
Akaanza kuni approach upya kwa kutumia jina langu la kweli, nikamkubali haraka haraka kwa kuwa na Mimi nilikuwa nimeshaanza kumpenda, lol
Nilihisi nimetua mzigo mzito sana nilikuwa nimeubeba.
who's know?Mimi nakupenda.
Who knowswho's know?
Mnaigiza mpaka maisha yenu,,,,,, hakuna kitu Kibaya kama kutokuwa muwazi hehehehehehehehehe
Mapenzi yanaweza kukufanya u fake maisha ili umpate umpendae hujui mapenzi ni upofu! Mdada anataka uwe na hela ndefu,gari na nyumba kali unafikiri wa hivi utampata ukiwa huna hivyo..? Lazima utaishia kuwaona kwenye tv😂😂Na kwanini ufake maisha..huo ni ujinga wa hali ya juu
Ila ni vyema mdada akupende vile ulivyo ..na siyo kwa kufake maana Kuna leo na kesho mambo yanabumburuka ..huoni Kama utakua umeumiza hisia za mwenzio kwa kumdanganya..wadada tunapenda ukweli bwana ingawa siyo wote.Mapenzi yanaweza kukufanya u fake maisha ili umpate umpendae hujui mapenzi ni upofu! Mdada anataka uwe na hela ndefu,gari na nyumba kali unafikiri wa hivi utampata ukiwa huna hivyo..? Lazima utaishia kuwaona kwenye tv[emoji23][emoji23]
Ushauli nimeshatoa hapo juu wa kuliwa na kukimbia ndo anatakiwa afanyiwe hayo ila wa kuoa ukweli lzm uhusike.. nyie viumbe hamuaminiki mnaweza kumvumilia mtu miaka na kumbwaga sekunde tu historia inabadilika!!Ila ni vyema mdada akupende vile ulivyo ..na siyo kwa kufake maana Kuna leo na kesho mambo yanabumburuka ..huoni Kama utakua umeumiza hisia za mwenzio kwa kumdanganya..wadada tunapenda ukweli bwana ingawa siyo wote.
Mwanaume anayefake kwa mwanamke wa maisha ni mpumbavu.
Feki maisha kwa binti usye na future naye tu (wa kufunua na kufunika)
Lakin kuna wanaume wengine wana fake maisha in vise versa. Yan unakuta ana mkwanja tu wa kutosha, kaz, nyumba usafiri mzuri, lakin ana fake as ni mtu wa hali ya kawaida sana, anamdanganya mwanamke kuwa maisha yake n ya kawaida/ya chini,Ila ni vyema mdada akupende vile ulivyo ..na siyo kwa kufake maana Kuna leo na kesho mambo yanabumburuka ..huoni Kama utakua umeumiza hisia za mwenzio kwa kumdanganya..wadada tunapenda ukweli bwana ingawa siyo wote.
Nashukuru, sijawahi kufanya hivyo na sitawahi....Mkuu haujui mapenzi yanaweza kukufanya uigize maisha.. unaazima nguo kwa masela,gari,gheto ili tu umpate kimwana anaezingua.. ukienda na makinyelamumo walahi msamiati kutoswa hauta kuepuka😂😂 ku fake,fake kwa asie mume au mke fake kwa yule wa kula then mbele.