Ku fake maisha ni chanzo cha maumivu katika mapenzi

Sijawahi danganya nilipokutana nae ktk Yale mazingira ye mwenyewe alikua anajua hali halisi na alinipenda vilevile tulivyo
And I miss her

[emoji16][emoji16] ila kwa sasa nimwendo wa pombe plus uongo plus kuwachapa tu hakuna kuweka kambi uongo unasaidia mabaharia
 
Mnaigiza mpaka maisha yenu,,,,,, hakuna kitu Kibaya kama kutokuwa muwazi hehehehehehehehehe
 
Hahahahahahahah hahahahahah doooh
 
Na kwanini ufake maisha..huo ni ujinga wa hali ya juu
 
Mnaigiza mpaka maisha yenu,,,,,, hakuna kitu Kibaya kama kutokuwa muwazi hehehehehehehehehe
Na kwanini ufake maisha..huo ni ujinga wa hali ya juu
Mapenzi yanaweza kukufanya u fake maisha ili umpate umpendae hujui mapenzi ni upofu! Mdada anataka uwe na hela ndefu,gari na nyumba kali unafikiri wa hivi utampata ukiwa huna hivyo..? Lazima utaishia kuwaona kwenye tv😂😂
 
Mapenzi yanaweza kukufanya u fake maisha ili umpate umpendae hujui mapenzi ni upofu! Mdada anataka uwe na hela ndefu,gari na nyumba kali unafikiri wa hivi utampata ukiwa huna hivyo..? Lazima utaishia kuwaona kwenye tv[emoji23][emoji23]
Ila ni vyema mdada akupende vile ulivyo ..na siyo kwa kufake maana Kuna leo na kesho mambo yanabumburuka ..huoni Kama utakua umeumiza hisia za mwenzio kwa kumdanganya..wadada tunapenda ukweli bwana ingawa siyo wote.
 
Ushauli nimeshatoa hapo juu wa kuliwa na kukimbia ndo anatakiwa afanyiwe hayo ila wa kuoa ukweli lzm uhusike.. nyie viumbe hamuaminiki mnaweza kumvumilia mtu miaka na kumbwaga sekunde tu historia inabadilika!!
 
Uongo dhambi mjue kwanza hilo halfu mkumbuke uongo haudumu

Over
 
“We una-act za kiboss, mi na-act broke.... sote tunaongopa”.

Ila asikwambie mtu, kama ni kwa matumizi ya kula tu.... uongo unalipa saaanaa.

Thank me later.
 
Mwanaume anayefake kwa mwanamke wa maisha ni mpumbavu.

Feki maisha kwa binti usye na future naye tu (wa kufunua na kufunika)

Mbona upumbavu kwa wanaume pekee, wanawake waendelee kufake hata kwenye ndoa..?
 
Ila ni vyema mdada akupende vile ulivyo ..na siyo kwa kufake maana Kuna leo na kesho mambo yanabumburuka ..huoni Kama utakua umeumiza hisia za mwenzio kwa kumdanganya..wadada tunapenda ukweli bwana ingawa siyo wote.
Lakin kuna wanaume wengine wana fake maisha in vise versa. Yan unakuta ana mkwanja tu wa kutosha, kaz, nyumba usafiri mzuri, lakin ana fake as ni mtu wa hali ya kawaida sana, anamdanganya mwanamke kuwa maisha yake n ya kawaida/ya chini,

Kwa upande wao hawa unawasemeaje? Wanafanya vizuri ili wapate wake bora au na wao huwa wanajiharibia?
 
Nashukuru, sijawahi kufanya hivyo na sitawahi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…