Ku-impote bidhaa kutoka china kwa kutumia alibaba

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
748
Reaction score
1,340
Habari zenu wanajamvi?

Kuna bidhaa nimeona kwenye mtandaa wa alibaba nataka kuiagiza, lakn nata kujua cost zipote kutoa bidhaa huko kuja Tanzania

Bidhaa yenyewe ipo hivi
Inauzwa usd 135
Ina uzito wa kg 1.5
Shipping usd 56

Nataka kujua hapo code itakatw shiling ngap pamoja na vat.

Nawasilisha kmwenu wajuvi, hiyo bidhaa ni ya muhimu kwangu maana hapa bongo nimeulizia hamna.View attachment 866318View attachment 866319
 
Ni kitu gani hicho?
Kazi yake nini?
Weka link yake,tuweze kukushauri cha kufanya.
 
mkuu agiza tu kodi inaanza kukatwa kitu cha uzito wa kuanzia 2kg na kuendelea kwa palw posta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…