Ku pollute kila wakati ni dalili ya ugonjwa gani?

Ku pollute kila wakati ni dalili ya ugonjwa gani?

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Habari wakuu, kusema kweli nimekumbwa na tatzo la kujamba kila wakati, ila haina harufu yaani haipiti dakika 30 sijapollute, tena kwa kishindo kuna mda hadi nakosa kujiamini nikiwa kwa watu maana nilikuwa najibana bana ila imefikia wakati nimeshindwa kuna mda naweza kwnda tolet kupollute tu kisha narudi,

Hali hii ina takribani miezi miwili hadi sasa, na nimejaribu kuepuka kula vyakula vunavyonisababishia gas tumboni ila bado haisaidii.

Msaada tafadhali.
 
Kula(tafuna na maji) vitunguu swaumu viwili mara tatu kwa siku mpaka hali itakapoisha
 
Ma vyakukula haya miaka nenda rudi ,makande ,ugali ,wali ,maharage ,chapati hapo lazima ujambe aisee + stress za CCM ....kikubwa hapo ni ainaa ya chakula
 
Hiyo ni Flatulence! Nenda Google ukapate maelezo zaidi.
Causes and treatment!
 
Inawezekana ukawa na lactose intolerant...epuka kunywa maziwa au mazao ya maziwa
 
Back
Top Bottom