Ku pollute kila wakati ni dalili ya ugonjwa gani?

Ku pollute kila wakati ni dalili ya ugonjwa gani?

Habari wakuu, kusema kweli nimekumbwa na tatzo la kujamba kila wakati, ila haina harufu yaani haipiti dakika 30 sijapollute, tena kwa kishindo kuna mda hadi nakosa kujiamini nikiwa kwa watu maana nilikuwa najibana bana ila imefikia wakati nimeshindwa kuna mda naweza kwnda tolet kupollute tu kisha narudi,

Hali hii ina takribani miezi miwili hadi sasa, na nimejaribu kuepuka kula vyakula vunavyonisababishia gas tumboni ila bado haisaidii.

Msaada tafadhali.

Nimekufukulia kaburi hili hapa pitia

 
Back
Top Bottom