Ku-renew akaunti CRDB

Tamalisa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
2,542
Reaction score
905
Habari zenu!

A/C yangu ya CRDB imefungwa kwani nina muda mrefu kama mwaka sijaitumia kwa sababu hali ya uchumi kuyumba. Sasa, leo naenda kucheki naambiwa tu haraka haraka lete 25,000/= kwa ajili ya ku-renew.

Dah! sina jinsi nitapeleka hata kesho. Vipi kwa wale mliowahi ku-renew mlitozwa hela? Shilingi ngapi?

Msaada tu!
 
Sina uhakika sana ila nadhani hakuna kiwango maalum cha kutoa ili account yako iwezeshwe tena kufanya kazi, nafikiri inategemea umeitelekeza mda gani kwa sababu kuna makato ya kila mwezi ambayo ulitakiwa uwe unayalipia, hivyo bai, kiwango cha pesa unayotakiwa kulipia inategemea na wewe haujalipia hayo makato kwa muda gani?
 
asante ndugu kwa maelezo hapo juu
 
Kawaida tu 25,000 toa ili waweze kukufungulia akaunti yako... Kwa kuwa inategemea uliitelekeza ikiwa na shilingi ngapi na pia kumbuka kuna gharama zinatozwa kwa kukuhifadhia akaunti yako na gharama hizi ni kila mwezi kwa hiyo usione kama vile wanakuibia ni haki kabisa.
 
Mimi nakushauri ukafungue nyingine ila sijui kama ukitumia details za mwanzoni kama majina,passport na signature watakusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…