Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 905
Habari zenu!
A/C yangu ya CRDB imefungwa kwani nina muda mrefu kama mwaka sijaitumia kwa sababu hali ya uchumi kuyumba. Sasa, leo naenda kucheki naambiwa tu haraka haraka lete 25,000/= kwa ajili ya ku-renew.
Dah! sina jinsi nitapeleka hata kesho. Vipi kwa wale mliowahi ku-renew mlitozwa hela? Shilingi ngapi?
Msaada tu!