Ku "Renew" Line Bila Kitambulisho

Ku "Renew" Line Bila Kitambulisho

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Wakuu Naomba Kuuliza, mimi sina kitambulisho chochote kinachotambulika kitaifa ila sasa nataka ku renew line yangu ya "VODACOM", Nafuata Taratibu Gani Kurenew Line Ambayo sina kitambulisho kinachotambulika??

Asanteni
 
nenda kwa mjumbe au mwenyekiti utapewa barua

mkuu unaishije bila ID
 
Back
Top Bottom