Ku-share moment ni ishara ya upendo wa kweli

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam,

Neno linasema wapendanao hufanyika mwili mmoja(waefeso 5:31)

Ishara kuu ya kufanyika mwili mmoja na mpendwa wako ni kushare moment.

MIFANO
1. Wakati unataka kumjuza umemiss uwepo wake, ghafla anakutafta kukujuza jambo hilo.

2. Unataka kumpa mwaliko wa chakula, ghafla anakutafta kukujuza hilo

3. Wakati unamuwazia jambo fulani, ghafla anakutafta kukujuza jambo hilo.

4. Kuota ndoto moja.

Je, ni moment ipi umewahi share na umpendae?
 
Telepathy mkuu
 
Back
Top Bottom