Ku-share moment ni ishara ya upendo wa kweli

Ishanitokea sana ila kale kabinti kalikua kamkomavu mnoo na kameshupaa kama kanyenyua mizigo ,nikatoka mkuku.
Dah! Mkuu punguza kukufuru, nilimuacha binti kisa mfupi miaka kadhaa badae nimepata binti mfupi hadi hua najuta kukufuru uumbaji wa mungu.
 
Salaam,

Neno linasema wapendanao hufanyika mwili mmoja(waefeso 5:31)

Ishara kuu ya kufanyika mwili mmoja na mpendwa wako ni kushare moment.

MIFANO
1. Wakati unataka kumjuza umemiss uwepo wake, ghafla anakutafta kukujuza jambo hilo.

2. Unataka kumpa mwaliko wa chakula, ghafla anakutafta kukujuza hilo

3. Wakati unamuwazia jambo fulani, ghafla anakutafta kukujuza jambo hilo.

4. Kuota ndoto moja.

Je, ni moment ipi umewahi share na umpendae?
Mimi Sina wakumuotaa namwota MUNGU tukiwa mbinguni au naota namiliki bank ya Dunia 😂
 
Salaam,

Neno linasema wapendanao hufanyika mwili mmoja(waefeso 5:31)

Ishara kuu ya kufanyika mwili mmoja na mpendwa wako ni kushare moment.

MIFANO
1. Wakati unataka kumjuza umemiss uwepo wake, ghafla anakutafta kukujuza jambo hilo.

2. Unataka kumpa mwaliko wa chakula, ghafla anakutafta kukujuza hilo

3. Wakati unamuwazia jambo fulani, ghafla anakutafta kukujuza jambo hilo.

4. Kuota ndoto moja.

Je, ni moment ipi umewahi share na umpendae?
Unaishi na jini shutuka wewe
 
Back
Top Bottom