cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
Wapendwa nina shosti wangu ana tatizo sijui ni la kisaikolojia au ni vipi mie sielewi lkn ni kwamba huyu dada ana tatizo la kusmile bila hiyari yake.
Jambo hili linamkera sana maana sometimes anaweza kuwa anaelezwa jambo serious mf. Msiba lkn yeye akawa anasmile hali inayomfanya watu wamshangae.
Sometimes anatamani kuwa na uso wa userious kwa wafanyakazi wake lkn akajikuta mf. Anamgombeza mtu huku anasmile.
Sometimes wanaume wamekuwa wakidhani ana flirt nao kwa jinsi anavyotabasamu tabasamu.
............kwa mwenye ufumbuzi wa hili tafadhali tusaidiane...............
Lav u all.