Ku-specialize katika vitasa, kufuri bawaba na komeo tu

Ku-specialize katika vitasa, kufuri bawaba na komeo tu

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
306
Reaction score
706
Habari wana JF,

NAOMBENI MAWAZO, UCHAMBUZI NA CRITICS DHIDI YA HII IDEA YANGU

Nimefikilia nispecialize katika kuuza vitasa, bawaba na komeo tu, yani naaamanisha duka langu liwe la kuuza vitasa vya aina zote (vitasa vya milango ya mbao na drilled doors) na vya brand tofauti, kufuri aina tofauti, komeo za kufuri, komeo za ndani na bawaba.

Iko poa kibiashara, au nitakuwa niko "too specialized" kwa kuwa nauza vitasa na makufuri tu na kusuburia wateja wa vitasa peke yake, or what and what...?

Your thoughts wananzengo..
20200518_101052.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna biashara ambayo hailipi duniani.... binadamu ili aishi anahitaji matumizi ya vitu...ikiwemo hayo makomeo na vitasa....cha msingi kabla ya kuanza hiyo biashara ni lazima ufuate utaratibu maalumu...kama vile kufanya utafiti wa namna bora ya kufanya hiyo biashara....

Katika utafiti wako angalia vitu kama mtaji unaohitajika.....na pesa ya akiba unayo takiwa kuwa nayo kipindi unalea biashara....biashara ni kama mtoto inahitaji malezi ili ikuwe....

Unaweza fanya biashara miaka miwili na hujaona faida ya moja moja kwa moja...huku mahitaji yako binafsi na gharama zingine kama kodi ziko pale pale...kingine kikubwa kwenye utafiti wako ni location.
 
Hakuna biashara ambayo hailipi duniani.... binadamu ili aishi anahitaji matumizi ya vitu...ikiwemo hayo makomeo na vitasa....cha msingi kabla ya kuanza hiyo biashara ni lazima ufuate utaratibu maalumu...kama vile kufanya utafiti wa namna bora ya kufanya hiyo biashara....katika utafiti wako angalia vitu kama mtaji unaohitajika.....na pesa ya akiba unayo takiwa kuwa nayo kipindi unalea biashara....biashara ni kama mtoto inahitaji malezi ili ikuwe....unaweza fanya biashara miaka miwili na hujaona faida ya moja moja kwa moja...huku mahitaji yako binafsi na gharama zingine kama kodi ziko pale pale...kingine kikubwa kwenye utafiti wako ni location.
Ahsante boss kwa kudra zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom