Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Habari wana JF,
NAOMBENI MAWAZO, UCHAMBUZI NA CRITICS DHIDI YA HII IDEA YANGU
Nimefikilia nispecialize katika kuuza vitasa, bawaba na komeo tu, yani naaamanisha duka langu liwe la kuuza vitasa vya aina zote (vitasa vya milango ya mbao na drilled doors) na vya brand tofauti, kufuri aina tofauti, komeo za kufuri, komeo za ndani na bawaba.
Iko poa kibiashara, au nitakuwa niko "too specialized" kwa kuwa nauza vitasa na makufuri tu na kusuburia wateja wa vitasa peke yake, or what and what...?
Your thoughts wananzengo..
Sent using Jamii Forums mobile app