Hakuna biashara ambayo hailipi duniani.... binadamu ili aishi anahitaji matumizi ya vitu...ikiwemo hayo makomeo na vitasa....cha msingi kabla ya kuanza hiyo biashara ni lazima ufuate utaratibu maalumu...kama vile kufanya utafiti wa namna bora ya kufanya hiyo biashara....katika utafiti wako angalia vitu kama mtaji unaohitajika.....na pesa ya akiba unayo takiwa kuwa nayo kipindi unalea biashara....biashara ni kama mtoto inahitaji malezi ili ikuwe....unaweza fanya biashara miaka miwili na hujaona faida ya moja moja kwa moja...huku mahitaji yako binafsi na gharama zingine kama kodi ziko pale pale...kingine kikubwa kwenye utafiti wako ni location.