Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Nov 18, 2024 #1 Maana haujui kwa muda wowote litakalo kufika kutokana na hali duni za mikakati na system mbovu zinazokuzunguka. Pale unapoambulia kitu cha faida hapa Afrika basi ujue wewe ni mwenye bahati kuu.
Maana haujui kwa muda wowote litakalo kufika kutokana na hali duni za mikakati na system mbovu zinazokuzunguka. Pale unapoambulia kitu cha faida hapa Afrika basi ujue wewe ni mwenye bahati kuu.