J JB THE GREAT Member Joined Apr 10, 2015 Posts 7 Reaction score 0 May 9, 2015 #1 vipi hali wakubwa : msaada nilikua naombwa kujuzwa kwamba unaweza Ku upgrade kutoka kwenye diploma in education kwenda advanced crnical officer??????
vipi hali wakubwa : msaada nilikua naombwa kujuzwa kwamba unaweza Ku upgrade kutoka kwenye diploma in education kwenda advanced crnical officer??????
B BGG Senior Member Joined Apr 5, 2012 Posts 134 Reaction score 15 May 10, 2015 #2 haiwezekani inabidi usome upya kwani kila mwaka wa masomo una compitences zake.mwaka wa kwanza ni foundation ya wa pili na wa pili ni foundation ya watatu nk
haiwezekani inabidi usome upya kwani kila mwaka wa masomo una compitences zake.mwaka wa kwanza ni foundation ya wa pili na wa pili ni foundation ya watatu nk
bab-D JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 1,215 Reaction score 322 May 10, 2015 #3 JB THE GREAT said: vipi hali wakubwa : msaada nilikua naombwa kujuzwa kwamba unaweza Ku upgrade kutoka kwenye diploma in education kwenda advanced crnical officer?????? Click to expand... Omba kusoma dip kama ni f4 soma cheti na unganisha dip 3ys kama ni advance omba jiwe mojakwa moja
JB THE GREAT said: vipi hali wakubwa : msaada nilikua naombwa kujuzwa kwamba unaweza Ku upgrade kutoka kwenye diploma in education kwenda advanced crnical officer?????? Click to expand... Omba kusoma dip kama ni f4 soma cheti na unganisha dip 3ys kama ni advance omba jiwe mojakwa moja