Ku-upgrade education kwenda afya

Ku-upgrade education kwenda afya

JB THE GREAT

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
7
Reaction score
0
vipi hali wakubwa : msaada nilikua naombwa kujuzwa kwamba unaweza Ku upgrade kutoka kwenye diploma in education kwenda advanced crnical officer??????
 
haiwezekani inabidi usome upya kwani kila mwaka wa masomo una compitences zake.mwaka wa kwanza ni foundation ya wa pili na wa pili ni foundation ya watatu nk
 
vipi hali wakubwa : msaada nilikua naombwa kujuzwa kwamba unaweza Ku upgrade kutoka kwenye diploma in education kwenda advanced crnical officer??????

Omba kusoma dip kama ni f4 soma cheti na unganisha dip 3ys kama ni advance omba jiwe mojakwa moja
 
Back
Top Bottom