nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Tunafundishwa kua wavumilivu siku zote katika maisha yetu. Lakini kuna baadhi ya mambo ukivumilia unaonekana unawaapa watu picha namna ya kukuendesha.
Kwa ufupi sio kila jambo unatakiwa kuvumilia mengine unatakiwa kuchukua hatua ili kulinda heshima yako. Asanteni.
Kwa ufupi sio kila jambo unatakiwa kuvumilia mengine unatakiwa kuchukua hatua ili kulinda heshima yako. Asanteni.