nipo online JF-Expert Member Joined Sep 10, 2022 Posts 1,039 Reaction score 2,657 Sep 28, 2024 #1 Tunafundishwa kua wavumilivu siku zote katika maisha yetu. Lakini kuna baadhi ya mambo ukivumilia unaonekana unawaapa watu picha namna ya kukuendesha. Kwa ufupi sio kila jambo unatakiwa kuvumilia mengine unatakiwa kuchukua hatua ili kulinda heshima yako. Asanteni.
Tunafundishwa kua wavumilivu siku zote katika maisha yetu. Lakini kuna baadhi ya mambo ukivumilia unaonekana unawaapa watu picha namna ya kukuendesha. Kwa ufupi sio kila jambo unatakiwa kuvumilia mengine unatakiwa kuchukua hatua ili kulinda heshima yako. Asanteni.
YoungPastor JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 437 Reaction score 674 Sep 28, 2024 #2 Tunavumilia wakati tunajua matunda, kama huoni wala hutarajii matunda mbeleni, huo Ni upuuzi na ulimbukeni.
Tunavumilia wakati tunajua matunda, kama huoni wala hutarajii matunda mbeleni, huo Ni upuuzi na ulimbukeni.
nipo online JF-Expert Member Joined Sep 10, 2022 Posts 1,039 Reaction score 2,657 Sep 28, 2024 Thread starter #3 YoungPastor said: Tunavumilia wakati tunajua matunda, kama huoni wala hutarajii matunda mbeleni, huo Ni upuuzi na ulimbukeni. Click to expand... Kuna wale wa kama ipo ipo huku wanaumia tu
YoungPastor said: Tunavumilia wakati tunajua matunda, kama huoni wala hutarajii matunda mbeleni, huo Ni upuuzi na ulimbukeni. Click to expand... Kuna wale wa kama ipo ipo huku wanaumia tu
YoungPastor JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 437 Reaction score 674 Sep 28, 2024 #4 nipo online said: Kuna wale wa kama ipo ipo huku wanaumia Click to expand... Kama ipo ipo tu huku ukiwa unamove on. Pain with gain✔️pain with no gain❌
nipo online said: Kuna wale wa kama ipo ipo huku wanaumia Click to expand... Kama ipo ipo tu huku ukiwa unamove on. Pain with gain✔️pain with no gain❌