Kua mkweli aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nje ya mada kidogo hivi kwanini Milard aliongeza jina la Muwenju kwenye kujitambulisha redioni?. Kila nikimsikiliza namkumbuka Izack Gamba maana ndio mtangazaji aliyekuwa na hilo jina kwa kumbukumbu zangu.
 
Anadai Isack Gamba ndio alimfungulia dunia .Sasa analitumia hilo jina kumpa heshima.Chanzo yeye mwenyewe huyo Millard a.k.a kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu.
 
Kwani huyu Milardayo anayeongelewa hapa,ndio nani huko Daslam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…