Kua na Furaha na Amani Moyoni ni Bora zaidi

Kua na Furaha na Amani Moyoni ni Bora zaidi

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Kuna mtu mitaa ambayo ninafanya Biashara zangu, kwa mtazamo wangu amenizidi kwa kipato na Mali. Sijajua kuhusu Elimu ya Darasani.

Ila nasikitika kua Huyo mtu amejiua, Sasa nikajiuliza kama pesa anayo, mke Familia Usafiri, na ni gari nzuri tifauti na yangu.

Akili yangu ikawaza sana Why huyo mtu ajiue Ili hali anamaisha mazuri. Daaa Ebana Mungu tulinde wanadamu tuepushie njia ya kujiua.
 
Furaha si ndio wahenga wakaja kujifariji namsemo wa pesa hainunui kils kitu ikiwemo furaha na amani ya moyo?
 
Back
Top Bottom