Kua uyaone, mikoani madukani kuna kipimo cha sukari hadi ya shilingi 200, mafuta 100

Kama ulidhani ulielewa somo la fraction au decimal jitafakari
Kuna robo ta robo
Watu wa mikoani huwa wanashangaa watu wa mjini kula miguu,utumbo na vichwa vya kuku,ule sio umasikini bali ni utamaduni tu.ndiomaana mtu wa pwani yuko tayari kuacha kula wali akala matandu au ukoko.

Kuna kabila moja wanakula wale wadudu jamii ya panzi,sasa bwana mmoja toka hilokabila akasafiri jwenda mkoa X akakuta jamaa wanakula njiwa,akawabeza sana kuwa mnakula tunjiwa tudogo hivi,wakamwambia kati ya njiwana senene kipi kikubwa....

Nilikuwa likizo mkoa Y maduka ya huku kuna hadi kipimo cha sukari ya sh 200,sijajua ni utamaduni au umasikini,yaani rob9 kilo inagawiwa maranne au zaidi kupata hiyo sukari ya 200.
Mafuta ya kula halikadhalika yapo hadi ya 100
Life is good
Mimi nakaa Dar uswahilini, lakini hapo uswahilini kwangu ni kama pa kishuwa, basi nikienda mitaa ya uswahilini kwenyewe sasa kwenye skwata magenge yao karoti inakatwa vipande na hoho inakatwa vipande, hapo kipande sh 50 ushindwe mwenyewe.

Hapa kwenyewe nimeshapiga supu ya maharagwe jero, chapati 2 sh 600 jumla 1100 breakfast ya nguvu.

Ukishindwa kuishi uswahilini usiitamani Masaki maishani kwako, mshikaki tu buku 3.
 
Mbona hayo ndio maisha ya Tandika na Tandale kwa mkoa wa Dar? Yaani pande hizo masikini ni wengi sana, wanaoishi maisha ya muda huo huo (yaani ananunua sukari ya kutosha kikombe kimoja cha chai).
 
Hakuna jipya hapo.Mleta Uzi hajui Zamani vocha ilikuwa hakuna ya huku wala 500.Ilikuwa ni Elfu 5 kwenda Juu.Makampuni yakajiongeza.Kwa sasa Kwa simu yako unanunua hata 100 Tu.Nimepita Mikoa yote TZ Hadi vijijini na Majiji Maisha yanafanana.Hakuna cha uswazi na ushua.Hata Masaki kuna watu maskini wanaishi Kwa tabu.
 
Mimi nakaa Dar uswahilini, lakini hapo uswahilini kwangu ni kama pa kishuwa, basi nikienda mitaa ya uswahilini kwenyewe sasa kwenye skwata magenge yao karoti inakatwa vipande na hoho inakatwa vipande, hapo kipande sh 50 ushindwe mwenyewe.

Hapa kwenyewe nimeshapiga supu ya maharagwe jero, chapati 2 sh 600 jumla 1100 breakfast ya nguvu.

Ukishindwa kuishi uswahilini usiitamani Masaki maishani kwako, mshikaki tu buku 3.
😄😄😄wakati huku ushwahilini kwetu mishkaki ya sh 100 unaipata freshhh kabisa. Kupanga ni kuchagua
 
Kuna mtaa nimewahi kukaa aisee kule ilikuwa mama anabeba sufuria lile la kupikia ndo anapimiwa mafuta humohumo ili yasipungue kuyaweka kwenye kopo, maji ya ugali yanachemka ndo mtoto anatumwa akapime unga,
 
Back
Top Bottom