Heheeee hapo sasa.
Slave kaingia chaka mazima.
Hebu Baba V njoo tuthibitishie kuwa Evelyn Salt ana kibandiko na sio kining'inio
Wahenga walisema, kua uyaone. Humu jamvini hutangazwa ndoa baina ya flani na flani, lakini kumbe huwa ni ndoa za jinsia moja bila ya wenyewe kujijua. Makubwa!!!! Yaani kumbe Evelyn Salt ni DUME!!!!!!!

ushahidi tafwadhar najua wewe mjukuu wangu hupendi kuniona nimetulia,utafanya kila kitu alimradi uniuzi. Huna tofauti na madenge wa gazeti la sani haishi kumsumbua baba yake.
Kwani wewe humfahamu uliyemchumbia? Au ulikurupuka!?