King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
kwani cha ajabu nini mwanamke kumsifu mwanamke mwenzie? Labda kama kuna jingine.
no homo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani cha ajabu nini mwanamke kumsifu mwanamke mwenzie? Labda kama kuna jingine.
Tafsida inapoteza muda shem coz hadi nitafute neno la kupachika muda unapotea.Unaongea bila tafsida...lol
Ahahahaha.Jamani sikutaka nicheke lakn nimecheka asbh yote hii..Wahenga walisema, kua uyaone. Humu jamvini hutangazwa ndoa baina ya flani na flani, lakini kumbe huwa ni ndoa za jinsia moja bila ya wenyewe kujijua. Makubwa!!!! Yaani kumbe Evelyn Salt ni DUME!!!!!!!
Sijawahi kuwa mkali wala tone tu ya maandishi, habari za siku mingi....umepotea sana Globu au upo kivingineUlikuwa mkali enzi hizo. It was joking.
Sorry [emoji120]
Nipo sis, majukumu yamekuwa mengi. Si unajua tena ukifanya kazi na hawa ngozi nyeupe inakuwa mchakamchaka.Sijawahi kuwa mkali wala tone tu ya maandishi, habari za siku mingi....umepotea sana Globu au upo kivingine
Naomba niunganishie kama kuna nafasi ya dereva hapo ofisini. Mm ni dereva. AhsanteNipo sis, majukumu yamekuwa mengi. Si unajua tena ukifanya kazi na hawa ngozi nyeupe inakuwa mchakamchaka.
No time to rest.
Thanks.
Kiongozi za miaka teleNipo sis, majukumu yamekuwa mengi. Si unajua tena ukifanya kazi na hawa ngozi nyeupe inakuwa mchakamchaka.
No time to rest.
Thanks.
Sawa.Sorry bro, niko mbali sana na Africa ( Australia) its impossible.
Safi sana kiongozi