Kua uyaone.

Msimsilize huyo Globu unajua amechanganya jukwaa? Yeye jukwaa lake ni lilee la akina joti,mpoki na masanja sasa mnazani tasema nini hapo?
 
Last edited by a moderator:
mambo ya kumfahamu hayafai.maana mnaweza tenda dhambi.

Ooohoo! Unanifanya nianze kuamini amini!? Namshauri Baba V aitishe kikao cha kamati kumaliza hii mambo! Otherwise hiyo ndoa inasitishwa hadi hapo mtakapo kaguliwa!
 
Last edited by a moderator:
Wahenga walisema, kua uyaone. Humu jamvini hutangazwa ndoa baina ya flani na flani, lakini kumbe huwa ni ndoa za jinsia moja bila ya wenyewe kujijua. Makubwa!!!! Yaani kumbe Evelyn Salt ni DUME!!!!!!!

Acheni kuharibu ndoa za watu....

Huo ni wivu kwa kike .... Sosi: utajaza mwenyewe¡¡
 
Last edited by a moderator:
Mmh naona bawabu wa JF katoa lake la moyoni....huyu ni mmoja wa wapokea wageni pengine anajua jinsia za kila mmoja.

Haaa haa haaa watu8, tukipokea wageni huwa tunawafanyia uchunguzi. Ila majibu huchelewa kutoka kwa sababu za kiitelejensia.
 
Last edited by a moderator:
Kwani huu uchumba haujawahi hata kumtoa out? Ukamkiss na kuegemeza goti pale kati (ndio only way ya kutest ujue). Kaka angalia aisee.
 
ushahidi tafwadhar najua wewe mjukuu wangu hupendi kuniona nimetulia,utafanya kila kitu alimradi uniuzi. Huna tofauti na madenge wa gazeti la sani haishi kumsumbua baba yake.

Mkuu Slave, nadhani una access ya Jukwaa la Wakubwa. Ingia katika thread: MPAKA LIMEBAKI KONGORO 2 BADO LIMO. Nafikiri utapata ushahidi tosha. Umepanda mkenge mtu mzima mwenzangu. Tafakari.
 
Last edited by a moderator:
wewe watu8 wewe weweee! Ulisema mnakagua jinsiaz ki digital digital, na wewe ndo uli nipa go ahead. Hapana utakuwa umenihujumu wewe na Globu

mie siwezi kukuhujumu bhana...ushahidi niujuao mimi ni kuwa wewe ni ME kwa hisani ya mwanangu charminglady, huyo mchumba wako mie sijawahi mtia machoni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Slave, nadhani una access ya Jukwaa la Wakubwa. Ingia katika thread: MPAKA LIMEBAKI KONGORO 2 BADO LIMO. Nafikiri utapata ushahidi tosha. Umepanda mkenge mtu mzima mwenzangu. Tafakari.

mmh kumbe na wewe wamo mkuu...huwa unaendaga huko kufuatilia wageni wanajichanganya vipi na wenyejia au???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…