Kua uyaone.

Wahenga walisema, kua uyaone. Humu jamvini hutangazwa ndoa baina ya flani na flani, lakini kumbe huwa ni ndoa za jinsia moja bila ya wenyewe kujijua. Makubwa!!!! Yaani kumbe Evelyn Salt ni DUME!!!!!!!
Ahahahaha.Jamani sikutaka nicheke lakn nimecheka asbh yote hii..
 
Sijawahi kuwa mkali wala tone tu ya maandishi, habari za siku mingi....umepotea sana Globu au upo kivingine
Nipo sis, majukumu yamekuwa mengi. Si unajua tena ukifanya kazi na hawa ngozi nyeupe inakuwa mchakamchaka.
No time to rest.
Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…