Kuacha alama kwa mpenzi wako uliyemsaidia katika maisha ni muhimu

Mkisha kupata mtoto, atapata mtu mwingine wa kumpa mtaji wa kukuza biashara yake na atakudharau zaidi.

Mtu aliemuongeza mtaji atamuacha pia, kwa sababu umri wake umeenda so value yake imepungua na hapo ndipo zitakapo anza drama kwako kwa kuwamezesha sumu watoto wake kua baba zao walikua malaya na hawakufanya chochote katika maisha yao.

At that point utakua depressed, na utaona dunia ni chungu.

Bro protect you sperm.
 
Kuwa na watoto wengi kuna baraka na furaha yake; akifikia umri wa shule, nitajitahidi awe bweni
 
Una hekaheka sijui mchepuko wa ngapi huyo. Hata hivyo maisha ni yako.
 
Back
Top Bottom