Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Ni kubwa mkuu, ndio maana nikampa mtihani kuwepo na alama, ili hiyo biashara imsaidie mtoto
Mkuu usitegemee hiyo biashara itamlea mtoto still you will stand as a father, hiyo ipo kikatibaNi kubwa mkuu, ndio maana nikampa mtihani kuwepo na alama, ili hiyo biashara imsaidie mtoto
Yule mwingine amesha jifungua?Nilishaoa mkuu, na nina watoto wakubwa; huyu ni mpenzi wa kando moyo umeteketea, kutokana na hitaji lake, naye inabidi akubaliane na hitaji langu
Bado mkuu, miezi minne mbele; tatizo la hii dunia, pisi kali ziko nyingiYule mwingine amesha jifungua?
Kutokana na uzuri wa mama yake, hakuna shidaMkuu usitegemee hiyo biashara itamlea mtoto still you will stand as a father, hiyo ipo kikatiba
Kwa nini mkuuUmeamua kuzaa na kipotoshi
Kuwa na watoto wengi kuna baraka na furaha yake; akifikia umri wa shule, nitajitahidi awe bweniMkisha kupata mtoto, atapata mtu mwingine wa kumpa mtaji wa kukuza biashara yake na atakudharau zaidi.
Mtu aliemuongeza mtaji atamuacha pia, kwa sababu umri wake umeenda so value yake imepungua na hapo ndipo zitakapo anza drama kwako kwa kuwamezesha sumu watoto wake kua baba zao walikua malaya na hawakufanya chochote katika maisha yao.
At that point utakua depressed, na utaona dunia ni chungu.
Bro protect you sperm.
Kila la kheri mkuu ufuate moyo wakoKutokana na uzuri wa mama yake, hakuna shida
Tatizo mnatushawishiUna hekaheka sijui mchepuko wa ngapi huyo. Hata hivyo maisha ni yako.
Khaa π msishawishike sana bwanaTatizo mnatushawishi
Tukiishiwa nguvu, tutatuliaKhaa π msishawishike sana bwana
πππ Eti eehTukiishiwa nguvu, tutatulia
Kelsea una fungu lako moyoni mwangu...unanishawishi sanaKhaa π msishawishike sana bwana
Kwa nini mkuuUnapigwa