Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo inategemea na taasisi uliyopo ila ni mshahara wa mwezi mmoja,nauli ya mizigo,hela ya siku za likizo kama unazo
hela ya nssf au ppf ,
Ngoja waje na wengine watoe data kamili
Wakuu! naomba kufahamu malipo stahiki anayepaswa kulipwa mwajiriwa wa kudumu ambaye si wa mkataba endapo atandika barua kwa HR ya kuacha kazi yeye mwenyewe yenye notice ya mwezi moja si yamasaa 24.
Natanguliza shukrani.
utalipwa msahara wa mwisho uliofanyia kazi kama kuna madai mengineyo mbele ya mwajiri wako kama overtime malipo ya likizo,malimbikizo ya mshahara, fedha za safari etc. akupe certificate of cervice na akujibu barua yako ili uweze kufuatilia fao lako la kujitoa