Kuacha kazi kwa taharifa ya mwezi moja.

Kuacha kazi kwa taharifa ya mwezi moja.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Wakuu! naomba kufahamu malipo stahiki anayepaswa kulipwa mwajiriwa wa kudumu ambaye si wa mkataba endapo atandika barua kwa HR ya kuacha kazi yeye mwenyewe yenye notice ya mwezi moja si yamasaa 24.

Natanguliza shukrani.
 
hapo inategemea na taasisi uliyopo ila ni mshahara wa mwezi mmoja,nauli ya mizigo,hela ya siku za likizo kama unazo
hela ya nssf au ppf ,
Ngoja waje na wengine watoe data kamili
 
nauli ya mizigo........ikoje hii
 
Wakuu! naomba kufahamu malipo stahiki anayepaswa kulipwa mwajiriwa wa kudumu ambaye si wa mkataba endapo atandika barua kwa HR ya kuacha kazi yeye mwenyewe yenye notice ya mwezi moja si yamasaa 24.

Natanguliza shukrani.

utalipwa msahara wa mwisho uliofanyia kazi kama kuna madai mengineyo mbele ya mwajiri wako kama overtime malipo ya likizo,malimbikizo ya mshahara, fedha za safari etc. akupe certificate of cervice na akujibu barua yako ili uweze kufuatilia fao lako la kujitoa
 
Asante sana mkuu kwa maelezo yako mazuri.
 
Back
Top Bottom