Kuacha kazi na likizo, ushauri

Kuacha kazi na likizo, ushauri

infomania

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
242
Reaction score
159
SalaamWanajamiiforums!

Naomba kujuzwa yafuatayo kwa mujibu wa sheria ya kazi na mahusiano kazini yamwaka 2004

1.Je nikweli kwamba muajiriwa haruhusiwi kuchukua annual leave wakati akiwakwenye resignation notice period ya mwezi 1

2.Na je kwa mfano nikiwa kwenye annual leave then nikatoa resignation noticehii ni okey?

Essence ya kuuliza yote haya ni kuwa nimepata kazi nyingine sasa nataka noticenitakayotoa iwe ya mwezi but iwe less kwa kuwa nina siku 20 za likizo.Kwa maananyingine nikitoa notice ya siku 28 nataka niwe na siku 8 tu (yaani 28 za noticetoa 20 za likizo) za kuwa na mwajiri huyu kwa hiyo hizo 20 zilizobakia ntakuwalikizo i.e. so nitawahi kureport/kuanza kazi kwa mwajiri mpya!

 
Kwa mujibu wa Sheria namba 6 ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 Kifungu cha 41 (4) kinasema;Taarifa ya kusitisha ajira haitatolewa: a) Wakati wowote wa likizo iliyochukuliwa chini ya sheria hii;au b) Kwenda sambamba na kipindi chote cha likizo.Naomba kuwasilisha!!
 
Hii ndo kusema kuwa once nikitoa resignation notice ninakuwa nimepoteza haki yangu ya kupata likizo ambayo itakuwa imeacrue mpako time natoa notice?
 
Haswaaa!!..Unabidi ukabali moja kati ya haya; 1.Kupoteza haki zako za likizo 2.Uendelee na kazi,uombe likizo then ikiisha utoe taarifa ya kuacha kazi.
 
Mkuu sambamba na vifungu ulivyopewa hapo juu unapokua umeacha kazi kama kuna likizo zako watatakiwa kukulipa hizo siku au wakupe likizo uende kwa hizo siku unazowadai hapo ofisini, mimi niliachaga kazi sehemu nilikua nadai siku 18 ikabidi wanipe likizo ya siku zangu nisije nikawadai wanilipe...
 
Back
Top Bottom