Kuacha kazi serikalini

Kuacha kazi serikalini

kupata kazi ni kazi na ukipata kazi fanya kazi!!pia km unataka kufanikiwa kuwa risk teker,acha uoga km umepata dili private we wapige chini kurudi sio ishu ww wasililiana na wadau watakurudisha kazini ila uandae maji ya wazee!!!pia sheria ni dynamic kesho ipo hv keshokutwa ipo vile!!!
 
asante kaka nmekupata vzr
 
Shemeji yangu kaacha mwaka juzi alikuwa anafanya kazi kwa kutumia dip yake ya ualimu. Baada ya kumaliza llb yake open unv. 2011 akaacha. Mwaka jana kapata kazi ofsi ya mwanasheria wa serikali .
 
Back
Top Bottom