kupata kazi ni kazi na ukipata kazi fanya kazi!!pia km unataka kufanikiwa kuwa risk teker,acha uoga km umepata dili private we wapige chini kurudi sio ishu ww wasililiana na wadau watakurudisha kazini ila uandae maji ya wazee!!!pia sheria ni dynamic kesho ipo hv keshokutwa ipo vile!!!