Kuacha kazi wakati mkataba wako ulishakwisha na haukusaini mwingine. Je unawezaje kupata stahiki zako?

Kuacha kazi wakati mkataba wako ulishakwisha na haukusaini mwingine. Je unawezaje kupata stahiki zako?

bernardmkenda

New Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Ndugu wana JamiiForums,

Kuna ndugu yangu anataka aache kazi. Sababu kubwa ni kwamba muajiri wake hamthamini na anajikuta anafanya kazi ambayo kimsingi hafurahii.

Mbaya zaidi wakati anaingia kwenye hiyo kampuni alipatiwa mkataba wa mwaka mmoja, baada ya ule mkataba kuisha hakuwahi kuongezewa mkataba mwingine. Aliendelea kufanya kazi huku wakiendelea kumlipa mshahara wake kama kawaida.

Lakini sasa wakati anataka aache kazi kampuni haijalipa wafanyakazi mishahara yao ya miezi mitatu mpaka sasa.

Je, kama ataacha anawezaje kupata stahiki zake (Mishahara yote mitatu)?

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom