Kuachana au kutengana??

Kumbe na wewe hutaki maswali?Unataka nikabwe kabari na mkeo mliotengana ehh?Lunch is cancelled!
hivi njia pekee ya kumjua mtu ni kumuuliza masuali?, jibu kwa makini, suali linalokuja litategemea hili umejibu vp
 
Kumbe umeishiwa ndo maana unajipendekaza na mimi??Hehehe nataka kuolewa kabla ujana haujaisha kwahiyo inabidi niwaangalie candidates kwa ukaribu nisije tumbukia shimoni bure!
hayo masuali mengi yanaweza yakamkimbiza right candidate, beleive u me
 
hayo masuali mengi yanaweza yakamkimbiza right candidate, beleive u me

If he is not strong enuff to take it na akimbie tu maana ipo siku ntamuuliza pesa ya mboga akashindwa kunijibu hana na kukimbia!
 
hivi njia pekee ya kumjua mtu ni kumuuliza masuali?, jibu kwa makini, suali linalokuja litategemea hili umejibu vp
Sio njia pekee ila ni moja wapo!Vipo vitu ambavyo unatakiwa kuvisikia kutoka kwa mtu mwenyewe!Kwanini niishie kuhisi mambo kama majibu yanaweza kupatikana?
 
If he is not strong enuff to take it na akimbie tu maana ipo siku ntamuuliza pesa mboga akashindwa kunijibu hana na kukimbia!
na je akikwambia kisichokuwa moyoni mwake na ukashindwa kukithibitisha? utaridhika na ushahidi wa mdomo? masuali zaidi kufuatia
 
dah! kuna njemba linataka kulembewa divorce ya kwenye biblia nini?

Yaani we acha tu
tangu nijiunge na JF
hii ndo info niliyoipenda kuliko zote
Eti u unamfahamu lawyer mzuri?
Maana nataka kushughulikia mambo ya
50/50.
Mmhhh hope ur haveing a great weekend..
God bless
 
Kumbe na wewe hutaki maswali?Unataka nikabwe kabari na mkeo mliotengana ehh?Lunch is cancelled!

Ningependa maswali ya msingi na mwelekeo, sasa km ulishawahi niuliza nikakwambia unazidi tu kuuliza haya ndi mwasali yanayowakimbiza wanaume. Hata ungekuwa ww ndio nimekupenda na ninazidi kukuuliza mwaswali ya ex wako sijui ungejisikiaje? inakuwa km unanilazimisha nirudi kule niliko toka.

Mfano: ukiambiwa tumetengana hapo wewe ni chance yako kukaza kamba uchukue nafasi kwa kujaza mapungufu ya yule wa kwanza, bora ujikite kuuliza alikuwa na tatizo gani huyo uliyeachana naye na wewe utumie hiyo nafasi kujaza na kumpoza mwenza uliyekutana naye. Mie siwesi kukuuliza kila siku eti kwanini uliachana na boyfriend wako, sana sana ukisha niambia siku moja tu inatosha.

Ila nyie wanawake huwa mnamswali ya kujirudia rudia, itapita miezi, miaka pengine mie niliachana na wife au girlfriend na tuna watoto sasa hapo unategemea kuwa hatutawasiliana kujua hali za watoto wetu. Ndoa ikivunjika watoto huwa hawana hatia yoyote ni matokeo yenu nyie mlioivunja na sio watoto.

sasa ukikuta msg ex wangu kanisalimia mara mioja japo kwa miezi kadhaa" vipi baba watoto hujambo" ww eti unakurupuka na kuanza kuninunia sasa unategemea nini?. Km ni kila siku hapo una haki ya kuniuliza.

jaribu kumwelewa mwenzio na kuwa naye karibu, halafu unajua nyie wasichana ni rahisi sana kuwateka wanaume kwa maneno yenu ya upole, ila mkianza kiherehere cha kuwa na jazba hapo ndio huwa mnaharibu. Ulimi wa mwanamke ni rahisi sana kumteka mwanaume na hata km anafanya upuuzi nje anaweza kuacha just because unempa maneno fulani yakamwingia rohoni. Ila jazba huwa inawaponza sana.
 
Sio njia pekee ila ni moja wapo!Vipo vitu ambavyo unatakiwa kuvisikia kutoka kwa mtu mwenyewe!Kwanini niishie kuhisi mambo kama majibu yanaweza kupatikana?
hehehe acha nikunywe maji kidogo. enhee tuendelee sasa

sasa majibu yasiothibitishika utayathibitisha vipi au hata akidanganya utaridhia tu?, karib togwa
 
na je akikwambia kisichokuwa moyoni mwake na ukashindwa kukithibitisha? utaridhika na ushahidi wa mdomo? masuali zaidi kufuatia

That means ntakua sijajua ukweli...sawa na kama nisingeuliza!But it's worth it..ili siku nikija kugundua tofauti niwe na sababu ya kumhukumu...tofauti na kama hajaniambia!Hata nikija kugundua amewahi kuua ataniambia hukuniuliza wala sikudanganya bali sikukwambia!
 
Yaani we acha tu
tangu nijiunge na JF
hii ndo info niliyoipenda kuliko zote
Eti u unamfahamu lawyer mzuri?
Maana nataka kushughulikia mambo ya
50/50.
Mmhhh hope ur haveing a great weekend..
God bless
nimesomea ulawyer lakini niko holidei, nitafte baada ya pasaka. usiwe na waswas jamaa atatoa divorce na razi ataomba. kuhusu malipo tutaongea PM
 
hehehe acha nikunywe maji kidogo. enhee tuendelee sasa

sasa majibu yasiothibitishika utayathibitisha vipi au hata akidanganya utaridhia tu?, karib togwa

Kila kitu kinathibitika through the right channels!Mmmh togwa leo haitanisaidia...labda gongo!
 
ahaaa sasa nimekuelewa, kumbe tatizo sio kuja kuvunjika mahusiano tatizo ni kuja kumfence na mahoja yake mwenyewe alioyatoa. Je kama jamaa ni hatibreka na he dont giv a damn anataka akuingize line tu? hauoni hata ukija ukiwa na masababu ya kutosha wakati wa kuvunjika mahusiano still itakuwa imekula kwako? , ukimuona keren happuch naomba nisalimie
 
Mpasua jipu tofautisha kati ya kurudia swali na kuuliza swali!Siwezi kuacha kuuliza maswali ambayo ni muhimu kwa huko tunakoelekea kisa naogopa mwanaume atakimbia!Kutaka kujua matatizo yake ya mwanzo ni muhimu ili nijue kama yakinikuta ntayaweza...na ya ex wake ili nijitahidi kutorudia makosa yake!
 
Mpasuajipu, umenena vyema sana hapo juu! Wanawake huwa wanaboa sana kurudia rudia kuulizia the very same thing, inachoshaga sana!
 
nimesomea ulawyer lakini niko holidei, nitafte baada ya pasaka. usiwe na waswas jamaa atatoa divorce na razi ataomba. kuhusu malipo tutaongea PM

Dahh mie nta weza kweli kusubiri
Ntakulipa mara mbili zaidi ukija mapema
Maana si wajua tena ile safari ya kwenda mwezini
ni wiki hii lol
 
Lizzy my dear
TANESCO wakinirudishia
umeme naomba kuongea na wewe
Kwa herufi kubwa...

Embu nunua solar kwanza uachanetna mgao!Mwenyewe kuna kitu nataka kweli kukuuliza...wakikurudishia nishtue tuchonge mwaya!
 

Pole kwa masaibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…