Kuachana au kutengana??

lizzy mamii weeh jivinjari tu mwaya,huyo anayekuambia ametengana na mkewe inawezekana anakudanganya tu.anaweza akawa available kwa kuwa mkewe yuko mbali for any reason.je,ukimpigia unampata wakati wote?usidanganyike na eti nlikuwa nimelala,simu sijaisikia etc hata kama anachat nawe hadi usiku wa manane.bt at ur young age,why take a kiporo alichoshindwa mwanamke mwenzio?do u expect akuambie mke wangu kanikimbia coz i am a serial cheater?muombe mungu akufunulie yaliyo sirini.all the best baby gal.
 
Hehehe ushauri utakataa ndo maana utanunua cha wizi alafu kwa taxi unakua umewaonyesha jeuri kwamba huwahitaji maana una kagari kako!Kha..tena alafu fikiria kama hununui ika unakodisha!Wakati wowote na sehemu yoyote mwenye mali akiitaka ameitaka!

hapo kwenye red pa ukweli
 
Unaloo shostito ujanja kwisha unauliza kijanja jitose tu siwametengana
 
Hahaha KING'ASTI asante mpendwa!Umenifurahisha kweli ila kushindikana sio mpaka iwe ndoani!Hata mahusiano tu yasiyo na vitanzi watu wanaachwa sasa kila mtu akisema anataka ambaye hajawahi kuachwa watapatikana wangapi??Alafu wapo wanaosema ukweli bwana..hata kama yeye ndo aliyekua tatizo..japo ni wachache sana!
 
mimi kama kisheria wamepeana talaka hao nasema wameachana,kama bado talaka wametengana na hapo inakuwa kosa kuwa na uhusiano na mtu kama huyo wa kimapenzi.
 
Mishelle nawee he kama wanamiaka minane bado tu hawjaachana mtazikosa bahati wewe fagilia tu

Bila ubishi!
 
Mishelle nawee he kama wanamiaka minane bado tu hawjaachana mtazikosa bahati wewe fagilia tu

Miaka yote hiyo kinachowazuia kuachana kabisa ni nini kama sio kuwekeana usiku!
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
hapo kwenye ukweli mwenzangu duh!siku hizi mtu akinitokea mi lazma anipe referees watatu na wenye mali zisizohamishika.manake kuna tapeli unakutana nalo unawekeza moyo,akili na mali zako afu unakuta kimeo.hivi kwenye mapenzi kwa nini tusitafute reference from the previous ex?ila we shldnt be biased sasa,lol!
 
Hehehe reference zipo sema unatakiwa kutafuta mwenyewe sio uombe!
 
Hili suala sio geni kabisa kwangu, nina mfano mzuri sana ambao umehusisha ndugu yangu.
Kwa sababu umeuliza, jibu ni kwamba bado ni wanandoa halali.
Kwenye ndoa waliapa kuvumiliana ktk shida na raha, so kutengana ni sehemu ya shida
So bado ni wanandoa halali, ingawaje kila mmoja anaweza akapata mwenza mwingine wa nje ya ndoa na akazaa nae kutokana na utengano wao, lakin ndoa inasimama palepale
 
Lizz bora ukaungue na life umiponda kuliko ukaunguwe na hata hukufaidi kuungua kupo tu unzani utakwepa kwa jema gani tulifanyalo dunia yetu ya leo, hebu kula mali kufa kwaja
Mwenzangu...kisa cha kujitumbukiza motoni huku najua fika ntaungua ni nini?
 
Lizz bora ukaungue na life umiponda kuliko ukaunguwe na hata hukufaidi kuungua kupo tu unzani utakwepa kwa jema gani tulifanyalo dunia yetu ya leo, hebu kula mali kufa kwaja

Wee kwahiyo nimkabe hivyo hivyo?Alafu mkewe akija namwachia tu bika ugomvi ehh?
 
CPU juzi liledua lako lituvutia kweli tukajua mwenzetu maji ya babu yamefanyakazi kwa ngufu ya miujiza leo umepata wapi andiko la kuwa wanaweza kupata mwingine wakujburudisha katika utengano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…