King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
lizzy mamii weeh jivinjari tu mwaya,huyo anayekuambia ametengana na mkewe inawezekana anakudanganya tu.anaweza akawa available kwa kuwa mkewe yuko mbali for any reason.je,ukimpigia unampata wakati wote?usidanganyike na eti nlikuwa nimelala,simu sijaisikia etc hata kama anachat nawe hadi usiku wa manane.bt at ur young age,why take a kiporo alichoshindwa mwanamke mwenzio?do u expect akuambie mke wangu kanikimbia coz i am a serial cheater?muombe mungu akufunulie yaliyo sirini.all the best baby gal.